Uendelevu

Geocycle sustainability sign at LafargeHolcim Tanzania

Takwimu zinaonyesha kuwa kufikia mwaka 2050, asilimia 70 ya watu duniani watakuwa wakiishi mijini. Katika kampuni ya LafargeHolcim, tunalenga kuchangia katika uendelevu wa miji duniani kote. Ufumbuzi wetu hutuwezesha kujenga nyumba thabiti zaidi huku tukidumisha ubora na uimara unaosifika katika LafargeHolcim.

Kwa kuwa malengo yetu ya ukuaji wa muda mrefu ujao ni sehemu kuu ya msingi wetu, LafargeHolcim inaendelea kuvumbua na kusanifu bidhaa endelevu zinazolinda mustakabali wa dunia yetu. Kwa kuwa tunafanya kazi katika jamii za vijijini, tunaweza kuendeleza lengo letu la kulinda mazingira.

LafargeHolcim Tanzania inafanya uhamasishaji wa usimamizi wa taka na utunzaji wa maji ili kuyatunza mazingira ya maeneo husika na kuzinufaisha jamii husika. Pia tumeshirikiana na Geocycle Tanzania, kampuni ambayo imetoa huduma za kitaalamu katika sekta ya usimamizi wa taka kwa zaidi ya miaka 30.

___

LafargeHolcim kampuni inayoongoza katika utengenezaji bidhaa na utoaji huduma za ujenzi ambayo imefanya kazi katika masoko ya kimataifa kwa miongo kadhaa. Sisi hutengeneza saruji, kusaga mawe na kuandaa zege lililochanganywa tayari kwa ajili ya miradi ya ujenzi, kuifaa miradi midogo ya nyumba za makazi na pia miradi mikubwa ya miundombinu kama vile maghorofa, mabwawa na madaraja.

___

LafargeHolcim Tanzania imekuwa ikiitengenezea nchi hii na mataifa jirani bidhaa yetu ya saruji ya Tembo, ambayo ni ya kiwango cha kimataifa, kwa zaidi ya miaka 30. Ofisi yetu ya kuu na kiwanda jumuisha kikamilifu zipo Songwe, Mkoa wa Mbeya, Kusini Magharibi mwa Tanzania.

___

Katika kampuni ya LafargeHolcim Tanzania, tunawapa wateja kipaumbele. Tunasikiliza mahitaji yao maalum ili kuwahudumia na kuwatolea bidhaa bora zaidi zinazokidhi mahitaji yako. Unaweza kututegemea sisi kama kiongozi mpya wa utengenezaji nyenzo za ujenzi na uwezo wetu wa utafiti na ustawi ambao umepelekea utengenezaji wa nyenzo bora zaidi za miradi yao ya ujenzi, iwe mikubwa au midogo.

___

Tufuate kwenye Facebook, Twitter, Instagram na Pinterest upate vidokezo vya kisasa kuhusu mbinu za miradi ya kujifanyia mwenyewe na habari za kisasa kuhusu sekta ya ujenzi. Angalia kituo chetu cha Instagram upate ufahamu zaidi kuhusu kazi tunayoifanya na jumuiya za karibu na viwanda vyetu na jinsi tunavyoyatunza mazingira asili.

Utafiti na Maendeleo

Duniani kote, LafargeHolcim ndiyo kampuni iliyo na kituo cha kwanza cha R&D cha ujenzi, na imetumia CHF milioni 141 kufikia sasa katika utafiti na maendeleo. Tuna wahandisi na mafundisanifu 240 kutoka kote duniani ambao huunda mbinu katika sekta ya ujenzi. Wataalam hawa wametuwezesha kuunda bidhaa, mbinu na huduma bunifu zaidi ili kupunguza gharama za ujenzi na kuweza kujenga nyumba za bei nafuu zaidi; kuboresha ufanisi wa matumizi ya kawi katika majengo; kuboresha umaridadi na uthabiti wa miundo imara na ya kipekee; kupunguza uharibifu wa mazingira; kuanzisha mbinu mpya katika sekta ya kawi; kuboresha afya na uendelevu katika miji na vituo vya kufanyia kazi; na kuwa mstari wa mbele katika mitindo mipya na kuangazia teknolojia mpya.

___

LafargeHolcim kampuni inayoongoza katika utengenezaji bidhaa na utoaji huduma za ujenzi ambayo imefanya kazi katika masoko ya kimataifa kwa miongo kadhaa. Sisi hutengeneza saruji, kusaga mawe na kuandaa zege lililochanganywa tayari kwa ajili ya miradi ya ujenzi, kuifaa miradi midogo ya nyumba za makazi na pia miradi mikubwa ya miundombinu kama vile maghorofa, mabwawa na madaraja.

___

LafargeHolcim Tanzania imekuwa ikiitengenezea nchi hii na mataifa jirani bidhaa yetu ya saruji ya Tembo, ambayo ni ya kiwango cha kimataifa, kwa zaidi ya miaka 30. Ofisi yetu ya kuu na kiwanda jumuisha kikamilifu zipo Songwe, Mkoa wa Mbeya, Kusini Magharibi mwa Tanzania.

___

Katika kampuni ya LafargeHolcim Tanzania, tunawapa wateja kipaumbele. Tunasikiliza mahitaji yao maalum ili kuwahudumia na kuwatolea bidhaa bora zaidi zinazokidhi mahitaji yako. Unaweza kututegemea sisi kama kiongozi mpya wa utengenezaji nyenzo za ujenzi na uwezo wetu wa utafiti na ustawi ambao umepelekea utengenezaji wa nyenzo bora zaidi za miradi yao ya ujenzi, iwe mikubwa au midogo.

___

Tufuate kwenye Facebook, Twitter, Instagram na Pinterest upate vidokezo vya kisasa kuhusu mbinu za miradi ya kujifanyia mwenyewe na habari za kisasa kuhusu sekta ya ujenzi. Angalia kituo chetu cha Instagram upate ufahamu zaidi kuhusu kazi tunayoifanya na jumuiya za karibu na viwanda vyetu na jinsi tunavyoyatunza mazingira asili.

LafargeHolcim katika eneo la Mashariki ya Kati na Afrika

LafargeHolcim workers in the Middle East and Africa

LafargeHolcim inafanya kazi katika nchi zaidi ya 80 duniani kote, nchi 25 kati ya hizi zikiwa Mashariki ya Kati na Afrika. Kundi hili la makampuni linawaajiri watu karibu 14 500 katika viwanda 46 vya saruji na kusaga klinka katika kanda mbili pekee.

Mbali na viwanda vya saruji, LafargeHolcim pia inaendesha viwanda 34 vya kokoto na viwanda 220 vya mchanganyiko tayari wa zege katika Mashariki ya Kati na Afrika. Kwa pamoja, viwanda hivi huzalisha Faranga milioni 4 za Uswisi (~ TZS bilioni 9.3) kila mwaka kutokana na mauzo.

Nchi ambapo tunafanya kazi katika kanda hizi

LafargeHolcim inafanya kazi nchini Tanzania, Afrika Kusini, Zimbabwe, Kenya, Madagaska, Nigeria na Misri, miongini mwa nchi nyingine barani Afrika. Katika Mashariki ya Kati, LafargeHolcim hufanya kazi nchini Oman, Falme za Kiarabu, Katari, Kuweiti, Yordani, Siria na Lebanon.

Katika nchi zote hizi, LafargeHolcim huwekeza katika jamii iliyo karibu na kiwanda. Kampuni yetu pia huboresha na kuwekeza katika sekta za soko la ndani ya nchi, mipango ya mafunzo na vifaa vya kiwanda, ikishirikiana na serikali za nchi husika kuhakikisha kuwa wafanyakazi wetu wanafaidika.

Mkuu mpya wa kanda hii

Kampuni ya LafargeHolcim ilitangaza kuwa imemwajiri mkuu mpya wa kanda ya Mashariki ya Kati na Afrika mwezi Julai 2018. Bw. Miljan Gutovic ni mjumbe wa Kamati Kuu ya LafargeHolcim.

“Bw. Miljan ni meneja mwenye ujuzi wa biashara anayestahiki kuiongoza biashara yetu katika kanda ya Mashariki ya Kati na Afrika. Katika vyeo vyake vya awali, alianzisha na kutekeleza kwa mafanikio mikakati ya ukuzaji, na analeta uzoefu wa kina kwa kanda hii, “alisema Mkurugenzi Mtendaji wa LafargeHolcim, Jan Jenisch.

Bw. Gutovic ni raia wa Australia ambaye ana tajriba ya zaidi ya miaka 13 katika sekta ya nyenzo za ujenzi. Alijiunga na LafargeHolcim kama mkuu wa mauzo na ugunduzi, na baadaye alisimamia mipango ya maendeleo ya kisasa ya kampuni katika bidhaa na ufumbuzi wa ujenzi. Gutovic ana Shahada ya kwanza ya Uhandisi wa Ujenzi na shahada ya juu ua udaktari  ya Uhandisi kutoka Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Sydney, Australia.

___

LafargeHolcim kampuni inayoongoza katika utengenezaji bidhaa na utoaji huduma za ujenzi ambayo imefanya kazi katika masoko ya kimataifa kwa miongo kadhaa. Sisi hutengeneza saruji, kusaga mawe na kuandaa zege lililochanganywa tayari kwa ajili ya miradi ya ujenzi, kuifaa miradi midogo ya nyumba za makazi na pia miradi mikubwa ya miundombinu kama vile maghorofa, mabwawa na madaraja.

___

LafargeHolcim Tanzania imekuwa ikiitengenezea nchi hii na mataifa jirani bidhaa yetu ya saruji ya Tembo, ambayo ni ya kiwango cha kimataifa, kwa zaidi ya miaka 30. Ofisi yetu ya kuu na kiwanda jumuisha kikamilifu zipo Songwe, Mkoa wa Mbeya, Kusini Magharibi mwa Tanzania.

___

Katika kampuni ya LafargeHolcim Tanzania, tunawapa wateja kipaumbele. Tunasikiliza mahitaji yao maalum ili kuwahudumia na kuwatolea bidhaa bora zaidi zinazokidhi mahitaji yako. Unaweza kututegemea sisi kama kiongozi mpya wa utengenezaji nyenzo za ujenzi na uwezo wetu wa utafiti na ustawi ambao umepelekea utengenezaji wa nyenzo bora zaidi za miradi yao ya ujenzi, iwe mikubwa au midogo.

___

Tufuate kwenye Facebook, Twitter, Instagram na Pinterest upate vidokezo vya kisasa kuhusu mbinu za miradi ya kujifanyia mwenyewe na habari za kisasa kuhusu sekta ya ujenzi. Angalia kituo chetu cha Instagram upate ufahamu zaidi kuhusu kazi tunayoifanya na jumuiya za karibu na viwanda vyetu na jinsi tunavyoyatunza mazingira asili.

Afya na usalama

Health and safety LafargeHolcim employees

Kampuni ya LafargeHolcim huichukulia afya na usalama kuwa misingi mikuu ya kampuni hii.
Dhamiria yake siyo tu kuzuia ajali, bali kutimiza lengo kuu la kuhakikisha kuwa hakuna madhara
yoyote.

Ili kufikia lengo hili, tumejitolea kudumisha mazingira salama na yanayolinda afya ya wadau wote, ikiwa ni pamoja na wafanyakazi, makandarasi, jamii na wateja.

Tunaendesha mfumo wa usimamizi wa kimataifa unaolinda afya na usalama, ulioundwa ili kuendelea kuboresha utendaji wetu na kudhibiti hatari kwa njia kamilifu katika biashara yetu. Sera hii ya afya na usalama ni thabiti na inabadilika kulingana na nyakati, na inalenga kuiwezesha LafargeHolcim kuwa mojawapo ya makampuni yanayoongoza kote duniani katika sekta hii. Tangu 2002, kampuni ya LafargeHolcim Group imefanikiwa kushuhudia upungufu wa idadi na ukubwa wa ajali za kazini.

Tunahakikisha kuwa tumewasiliana kwa uwazi na wadau wetu na kuwataarifu kila mara kuhusu masuala na sera zote muhimu za afya na usalama.

___

LafargeHolcim kampuni inayoongoza katika utengenezaji bidhaa na utoaji huduma za ujenzi ambayo imefanya kazi katika masoko ya kimataifa kwa miongo kadhaa. Sisi hutengeneza saruji, kusaga mawe na kuandaa zege lililochanganywa tayari kwa ajili ya miradi ya ujenzi, kuifaa miradi midogo ya nyumba za makazi na pia miradi mikubwa ya miundombinu kama vile maghorofa, mabwawa na madaraja.

___

LafargeHolcim Tanzania imekuwa ikiitengenezea nchi hii na nchi za jirani bidhaa yetu ya saruji
ya Tembo, ambayo ni ya kiwango cha kimataifa, kwa zaidi ya miaka 30. Ofisi yetu kuu na
kiwanda jumuishi kikamilifu zipo Songwe, Mkoa wa Mbeya, Kusini Magharibi mwa Tanzania.

___

Katika kampuni ya LafargeHolcim Tanzania, tunawapa wateja kipaumbele. Tunasikiliza mahitaji yao maalum ili kuwahudumia na kuwatolea bidhaa bora zaidi zinazokidhi mahitaji yako. Unaweza kututegemea sisi kama kiongozi mpya wa utengenezaji nyenzo za ujenzi na uwezo wetu wa utafiti na ustawi ambao umepelekea utengenezaji wa nyenzo bora zaidi za miradi yao ya ujenzi, iwe mikubwa au midogo.

___

Tufuate kwenye Facebook, Twitter, Instagram na Pinterest upate vidokezo vya kisasa kuhusu mbinu za miradi ya kujifanyia mwenyewe na habari za kisasa kuhusu sekta ya ujenzi. Angalia kituo chetu cha Instagram upate ufahamu zaidi kuhusu kazi tunayoifanya na jumuiya za karibu na viwanda vyetu na jinsi tunavyoyatunza mazingira asili.

LafargeHolcim Tanzania

LafargeHolcim Tanzania Mbeya cement factory

LafargeHolcim Tanzania ni kampuni tanzu ya kampuni ya kimataifa ya LafargeHolcim Group. Tumekuwa tukiuza saruji yetu ya Tembo na nyenzo nyinginezo za ujenzi za kiwango cha juu nchini Tanzania na mataifa jirani kwa zaidi ya miaka 30. Ofisi zetu kuu na kiwanda kipo Songwe, Mkoa wa Mbeya, Kusini Magharibi mwa Tanzania.

Kiasi kikubwa kwa sasa cha hisa katika kampuni hii kinamilikiwa na LafargeHolcim Group, ambacho ni asilimia 65. Serikali ya Tanzania ina umiliki wa asilimia 20 na Mfuko wa Kitaifa wa hifadhi  ya Jamii unamiliki asilimia 15 za hisa iliyosalia katika kampuni hii.

Historia LafargeHolcim Tanzania

Kufuatia hatua za kununua au kuungana na makampuni mengine, LafargeHolcim Tanzania sasa ndiyo kampuni ya saruji iliyohudumu nchini kwa miaka mingi zaidi. Mwaka 1978, kiwanda cha saruji kilianzishwa ili kuzalisha saruji ya kawaida ya Portland (OPC). Baada ya muda, Pan African Cement Ltd iliweza kuwa mshirika mkuu wa kampuni hii ya kiserikali.

Mwaka 2001, kampuni ya Lafarge ilinunua kampuni ya Pan African Cement Ltd na ikawa mshirika mkuu mpya. Kisha, mwaka 2015, makampuni ya Lafarge na Holcim yaliungana kuunda kikundi kipya cha kutengeneza saruji na kumiliki Kampuni ya Saruji ya Mbeya. Kampuni hii mpya, kwa jina LafargeHolcim, imewekeza Faranga Milioni 45 za Uswisi (~ TZS bilioni 104) katika miradi mbalimbali ya upanuzi, mipango ya mafunzo na kutengeneza  bidhaa za soko la nchini Tanzania.

Uwekezaji huu ulijumuisha ukarabati wa kiwanda cha saruji cha Mbeya kama ifuatavyo, Tanuu
iliboreshwa, teknolojia ya kisasa kuwekwa katika chumba cha kuendeshea mtambo, wa umeme kuboreshwa, kinu kipya cha saruji kujengwa na mtambo mpya wa kuhifadhia na kupakia saruji kuwekwa.

Bidhaa za ujenzi na miundo

LafargeHolcim Tanzania ina aina nyingi za bidhaa zinazowafaa kabisa makandarasi, wasanifu, wajenzi wa nyumba, mafundi, wahandisi na wengineo. Bidhaa zetu zinawawezesha watu kujenga majengo bunifu, madaraja na mabwawa kwa gharama nafuu na yanayodumu siku zao zote.

Mbali na saruji na bidhaa za zege, LafargeHolcim Tanzania pia inatoa bidhaa mbadala kama vile
makontena yaliyopigwa chapa, matangi makubwa, maghala makubwa na usaidizi wa kiufundi
wa huduma na bidhaa zote. Sisi husafirisha bidhaa hadi walipo wateja wetu au wanapojengea, na pia tuna vituo vya kuchukua bidhaa kwa makandarasi wanaomiliki magari.

Mabohari yetu yamejengwa katika sehemu zinazofaa zaidi na ni bora kwa wafanyabiashara ambao wanataka kuuza bidhaa zetu nje ya nchi. LafargeHolcim Tanzania ina ushirikiano mzuri wa kibiashara na wauzaji wa nchini na wa kimataifa.

___

LafargeHolcim kampuni inayoongoza katika utengenezaji bidhaa na utoaji huduma za ujenzi ambayo imefanya kazi katika masoko ya kimataifa kwa miongo kadhaa. Sisi hutengeneza saruji, kusaga mawe na kuandaa zege lililochanganywa tayari kwa ajili ya miradi ya ujenzi, kuifaa miradi midogo ya nyumba za makazi na pia miradi mikubwa ya miundombinu kama vile maghorofa, mabwawa na madaraja.

___

Katika kampuni ya LafargeHolcim Tanzania, tunawapa wateja kipaumbele. Tunasikiliza mahitaji yao maalum ili kuwahudumia na kuwatolea bidhaa bora zaidi zinazokidhi mahitaji yako. Unaweza kututegemea sisi kama kiongozi mpya wa utengenezaji nyenzo za ujenzi na uwezo wetu wa utafiti na ustawi ambao umepelekea utengenezaji wa nyenzo bora zaidi za miradi yao ya ujenzi, iwe mikubwa au midogo.

___

Tufuate kwenye Facebook, Twitter, Instagram na Pinterest upate vidokezo vya kisasa kuhusu mbinu za miradi ya kujifanyia mwenyewe na habari za kisasa kuhusu sekta ya ujenzi. Angalia kituo chetu cha Instagram upate ufahamu zaidi kuhusu kazi tunayoifanya na jumuiya za karibu na viwanda vyetu na jinsi tunavyoyatunza mazingira asili.

Kampuni ya LafargeHolcim Group

LafargeHolcim ni kampuni inayoongoza katika utengenezaji wa bidhaa na utoaji huduma za ujenzi ambayo imefanya kazi katika masoko ya kimataifa kwa miongo kadhaa. LH hutengeneza saruji, kusaga kokoto na kuandaa zege lililochanganywa tayari kwa ajili ya miradi ya ujenzi, kuifaa miradi midogo ya nyumba za makazi na pia miradi mikubwa ya miundombinu kama vile maghorofa, mabwawa, madaraja na barabara.

Kampuni ya LafargeHolcim, iliyo na makao yake makuu nchini Uswisi, inafanya kazi katika nchi zaidi ya 80 ina viwanda zaidi ya 2300 zinazofanya kazi, na ina wafanyakazi 90,000. Tumetoa leseni za hatimiliki na maombi ya leseni za hatimiliki 2000 za huduma zetu bunifu za ujenzi.

Historia ya LafargeHolcim

Kampuni hii ilianzishwa Julai 2015 wakati Lafarge, kampuni ya viwanda iliyosifika kwa utengenezaji saruji, kokoto , jasi, na zege lililochanganywa tayari, ilipoungana na Holcim, kampuni ya saruji ya Uswisi. Kampuni hii mpya ilizinduliwa rasmi duniani kote chini ya jina la LafargeHolcim.

Lafarge ilianzishwa mwanzoni mwaka 1833 nae Bw. Joseph-Auguste Pavin de Lafarge nchini Ufaransa kwa lengo la kuchimba chokaa katika eneo la Mont Saint-Victor lililokuwa na chokaa . Bidhaa hii hutumiwa kutengeneza chokaa inayoimarishwa kwa maji na hutumiwa kama kiungo msingi cha kukausha saruji.

Utafiti na ustawi katika kampuni ya LafargeHolcim

Kampuni hii ilianzisha kituo cha kwanza cha utafiti na ustawi (R & D) kwa sekta ya ujenzi na imewekeza mamilioni ya Euro katika R&D miaka kadhaa iliyopita. Hii inamaanisha kuwa LafargeHolcim inazalisha bidha, ufumbuzi na huduma bunifu zaidi katika sekta ya ujenzi.

Baadhi ya mafanikio yetu ya R&D ni pamoja na kupunguza gharama za ujenzi, kupunguza bei za
nyumba, kuboresha uwezo wa majengo, kuokoa nishati, kutengeneza viungo vipya vya saruji, kupunguza uharibifu wa mazingira na kufanya vituo vya kufanyia kazi viwe bora kwa wafanyakazi wote. LafargeHolcim itatabiri mitindo na matumizi ya teknolojia mpya kila mara ili iendelee kuwa kampuni ya kisasa.

Afya na usalama katika LafargeHolcim

Kuzuia ajali kwenye maeneo ya kazi zetu ni jambo muhimu kwetu, lakini lengo letu kuu ni kuhakikisha hakuna mfanyakazi yeyote anayejeruhiwa katika vituo vyetu vyote. LafargeHolcim inajitahidi kudumisha mazingira salama na yanayotunza afya ya wafanyakazi wote, makandarasi, jamii na wateja.

Tunadumisha mfumo wa kimataifawa usimamizi wa afya na usalama ili kuendeleza historia yetu
ya usalama. LafargeHolcim huendelea kujaribu kuboresha historia hii kwa kudhibiti kikamilifu vihatarishi vyote katika nyanja mbalimbali za biashara yetu.

Mafunzo na ushirikishwaji hudumisha nidhamu ya ufanyakazi na kuweka maadili ya kudumisha usalama miongoni mwa wafanyakazi. Wadau wote huelezwa waziwazi kuhusu masuala yoyote ya afya na usalama yanayotambulika ili kuwahamasisha kuhusu hatari zilizopo.

Mkakati wa 2022

Mkakati wetu wa miaka ijayo ni kufanya ujenzi unaoleta ustawi. Lengo la kampuni ya LafargeHolcim ni kuwezesha ustawi wenye faida kwa kurahisisha taratibu za biashara na kuwawezesha washikadau kupata faida endelevu.

Tumeanzisha Mkakati wa 2022 unaoambatana na uwezo wetu kama kampuni. Mkakati huu utasababisha ustawi katika kiwango cha juu katika miaka michache ijayo. Soko la kimataifa la nyenzo za ujenzi linatabiriwa kukua kwa asilimia mbili hadi tatu kila mwaka. LafargeHolcim itatumia nafasi hii ya ustawi kujitahidi iwe na utendaji bora kuliko utendaji wastani wa sokoni.

LafargeHolcim itatumia rasilimali zake nyingi kuwekeza katika masoko yanayokua. Kampuni hii imezindua idara mpya ya biashara inayojulikana kama Huduma na Bidhaa, ambayo inawahudumia.wateja kwa njia bora zaidi. Idara hii ya biashara kwa sasa hutoa bidhaa za zege zilizotengenezwa awali, lami, chokaa na huduma za ukandarasi.

Mkakati wa urahisishaji na utendaji unajumuisha kutumia mbinu ya gharama nafuu zaidi inayofuata muundo rahisi zaidi wa kishirika. LafargeHolcim pia itazingatia zaidi kwa kanuni za utendajiza husika na masoko yake.

___

Je, wajua, LafargeHolcim ilitoa saruji na kokoto iliyotumika kujenga viwanja vya Kombe la Dunia la FIFA la 2010 nchini Afrika Kusini; Uwanja wa Cape Town mjini Cape Town, Uwanja wa Nelson Mandela Bay mjini Port Elizabeth, Uwanja wa Peter Mokaba mjini Polokwane, Uwanja wa Mbombela mjini Nelspruit na Uwanja wa Moses Mabhida mjini Durban.

___

LafargeHolcim Tanzania imekuwa ikiitengenezea nchi hii na mataifa jirani bidhaa yetu ya saruji ya Tembo, ambayo ni ya kiwango cha kimataifa, kwa zaidi ya miaka 30. Ofisi yetu ya kuu na kiwanda jumuisha kikamilifu zipo Songwe, Mkoa wa Mbeya, Kusini Magharibi mwa Tanzania.

___

Katika kampuni ya LafargeHolcim Tanzania, tunawapa wateja kipaumbele. Tunasikiliza mahitaji yao maalum ili kuwahudumia na kuwatolea bidhaa bora zaidi zinazokidhi mahitaji yako. Unaweza kututegemea sisi kama kiongozi mpya wa utengenezaji nyenzo za ujenzi na uwezo wetu wa utafiti na ustawi ambao umepelekea utengenezaji wa nyenzo bora zaidi za miradi yao ya ujenzi, iwe mikubwa au midogo.

___

Tufuate kwenye Facebook, Twitter, Instagram na Pinterest upate vidokezo vya kisasa kuhusu mbinu za miradi ya kujifanyia mwenyewe na habari za kisasa kuhusu sekta ya ujenzi. Angalia kituo chetu cha Instagram upate ufahamu zaidi kuhusu kazi tunayoifanya na jumuiya za karibu na viwanda vyetu na jinsi tunavyoyatunza mazingira asili.

Research and Development

With the world’s first R&D centre for the construction industry situated in Lyon, France, LafargeHolcim has spent 141 million CHF to date on research and development. We have 240 engineers and technicians from all over the world that develop solutions for the construction industry.

This has enabled us to create some of the most innovative products, solutions and services in order to reduce construction costs and contribute to more affordable housing.

The R&D centre has also enabled LafargeHolcim to improve the energy-efficiency of buildings; improve the aesthetics and strength of unique, resilient structures; minimise our environmental footprint; provide the energy industry with new solutions; make cities and worksites healthier and more sustainable; and stay one step ahead by anticipating new trends and highlighting new technologies.

To read this article in Swahili click here.

___

LafargeHolcim is a leading building materials and solutions company that has been operating in international markets for decades. We produce cement, aggregates and ready-mix concrete for construction projects, ranging from small affordable housing developments to large-scale infrastructure projects such as high-rise buildings, dams and bridges.

___

LafargeHolcim Tanzania has been supplying the country and neighbouring countries with our world-class Tembo brand for over 30 years. Our head office and fully-integrated plant are located in the Mbeya Region in Southwest Tanzania.

___

At LafargeHolcim Tanzania, we believe customers come first. We listen to your specific requirements to supply and develop the best solutions for your needs. As the leader in building materials, you can also rely on our cutting-edge research and development capabilities that have resulted in the finest materials for your construction projects, whether large or small.

___

Follow us on Facebook, Twitter, Instagram and Pinterest for the best tips on construction, handy DIY projects and the latest industry news. See our Instagram channel for more insights into our work with local communities and the living environment.

Sustainability

Geocycle sustainability sign at LafargeHolcim Tanzania

Statistics show that by 2050, 70% of the world’s population will live in cities. At LafargeHolcim we seek to contribute to the sustainability of cities throughout the world. Our solutions allow for more compact housing while preserving the quality and durability associated with LafargeHolcim.

With our long term growth goals playing an integral part of our foundation, LafargeHolcim continues to innovate and invent sustainable solutions for our planet’s future. Working at the local community level, we are able to continue our goal of sustainable environmental protection.

LafargeHolcim Tanzania is using alternative fuels such as biomass and conducting water-conservation campaigns in order to benefit the local environment and the local community.

To read this article in Swahili click here.

___

LafargeHolcim is a leading building materials and solutions company that has been operating in international markets for decades. We produce cement, aggregates and ready-mix concrete for construction projects, ranging from small affordable housing developments to large-scale infrastructure projects such as high-rise buildings, dams and bridges.

___

LafargeHolcim Tanzania has been supplying the country and neighbouring countries with our world-class Tembo brand for over 30 years. Our head office and fully-integrated plant are located in the Mbeya Region in Southwest Tanzania.

___

At LafargeHolcim Tanzania, we believe customers come first. We listen to your specific requirements to supply and develop the best solutions for your needs. As the leader in building materials, you can also rely on our cutting-edge research and development capabilities that have resulted in the finest materials for your construction projects, whether large or small.

___

Follow us on Facebook, Twitter, Instagram and Pinterest for the best tips on construction, handy DIY projects and the latest industry news. See our Instagram channel for more insights into our work with local communities and the living environment.

Health and safety

Health and safety LafargeHolcim employees

LafargeHolcim views health and safety as a core company value. The aim goes beyond preventing accidents and seeks to reach the ultimate goal of zero harm. In order to realize this goal we are dedicated to creating a safe and healthy environment for all stakeholders including employees, contractors, communities, and customers.

We maintain a global health and safety management system designed to continuously improve our performance and actively manage risk in our business. This stringent and ever-evolving health and safety policy seeks to establish LafargeHolcim as one of the world’s leading companies in this domain. Since 2002, the LafargeHolcim Group has achieved a significant reduction in both the frequency and the gravity of work-related accidents.

We make sure to communicate openly with our stakeholders and keep them updated on all relevant health and safety issues and policies.

To read this article in Swahili click here.

___

LafargeHolcim is a leading building materials and solutions company that has been operating in international markets for decades. We produce cement, aggregates and ready-mix concrete for construction projects, ranging from small affordable housing developments to large-scale infrastructure projects such as high-rise buildings, dams and bridges.

___

LafargeHolcim Tanzania has been supplying the country and neighbouring countries with our world-class Tembo brand for over 30 years. Our head office and fully-integrated plant are located in the Mbeya Region in Southwest Tanzania.

___

At LafargeHolcim Tanzania, we believe customers come first. We listen to your specific requirements to supply and develop the best solutions for your needs. As the leader in building materials, you can also rely on our cutting-edge research and development capabilities that have resulted in the finest materials for your construction projects, whether large or small.

___

Follow us on Facebook, Twitter, Instagram and Pinterest for the best tips on construction, handy DIY projects and the latest industry news. See our Instagram channel for more insights into our work with local communities and the living environment.

LafargeHolcim Tanzania

LafargeHolcim Tanzania Mbeya cement factory

LafargeHolcim Tanzania is a subsidiary of the global LafargeHolcim Group. We have been supplying Tanzania and neighbouring countries with our world-class Tembo brand cement and other building materials and solutions for over 30 years. Our head office and fully-integrated plant are located in the Mbeya region in Southwest Tanzania.

The current majority stake in the company is held by the LafargeHolcim Group, with 65% ownership. The Tanzanian government owns 20% and the National Social Security Fund holds the remaining 15% shares in the company.

The history of LafargeHolcim Tanzania

In 2001, Lafarge purchased Pan African Cement Ltd and became the new major shareholder. In 2015, Lafarge and Holcim merged to form a new cement company in Tanzania. This company, LafargeHolcim, invested 45 million Swiss Francs (~104 billion TZS) in various expansion projects and upgrades.

The kiln was upgraded, state-of-the-art technology was installed in the plant control room, the electrical systems were upgraded, a new vertical cement mill (the first of its kind in Tanzania) was constructed and a new cement packing machine was installed.

Building and infrastructure solutions

LafargeHolcim Tanzania has an extensive product range that is perfectly suited to contractors, architects, property developers, masons, engineers and more. Our products allow people to construct innovative buildings, bridges and dams that are cost-efficient and sustainable throughout their lifespan.

Besides the cement and concrete materials, LafargeHolcim Tanzania also offers alternative solutions such as branded containers, bulk tankers, bulk silos and technical support across the board. We deliver directly to our customers and their building sites, although we also have self-collection options for those contractors with their own trucks.

To read this article in Swahili click here.

___

LafargeHolcim is a leading building materials and solutions company that has been operating in international markets for decades. We produce cement and aggregates for construction projects, ranging from small affordable housing developments to large-scale infrastructure projects such as high-rise buildings, dams and bridges.

___

At LafargeHolcim Tanzania, we believe customers come first. We listen to your specific requirements to supply and develop the best solutions for your needs. As the leader in building materials, you can also rely on our cutting-edge research and development capabilities that have resulted in the finest materials for your construction projects, whether large or small.

___

Follow us on Facebook, Twitter and Pinterest for the best tips on construction, handy DIY projects and the latest industry news. See our Instagram channel for more insights into our work with local communities.